DUNIANI KUNA MASKINI NA MATAJIRI

 


DUNIANI KUNA MASKINI NA MATAJIRI

Ni kweli kwamba hapa duniani kuna kila aina ya masikini na matajiri wa kila aina. Kuna masikini wa kwanza na masikini wa mwisho kwani maskini  nao wanatofautiana kutokana na madaraja walionao kama walivyo matajiri wa duniani. Kuna masikini wa angalau na masikini ambao hawana uangalau wowote ule hata kwa kumuona tu utaoona huyu ni maskini ambaye anahitaji msaada maana hawezi kupata  chochote bila ya kusaidiwa na mtu yoyote yule. Maskini wa kundi hili tunao katika mitaa yetu, vijiji vyetu, miji yetu, wilaya zetu na Taifa kwa ujumla.

Pia vilevile kwa upande wa masikini kundi hilo hilo  wapo masikini wanatokana na kukosa huduma za kijamii  kama vile chakula, maladhi ambayo ndio mahitaji ya muhimu sana kwa binadamu

Upande wa utajiri kuna matajiri wa kila aina vilevile pia matajiri wametofatiana kuna matajiri namba 1, namba 2 hadi namba mwisho kuna wenye uwezo mkubwa sana na wenye uwezo mdogo. Kwa upande mwingine wa shilingi hayo makundi ambayo nimeyataja hapo juu mbele za Mungu Muumba wetu  wote ni sawa maana yake wako ngoma droo hakuna makundi ya masikini wala makundi.

Hivyo basi Mbinguni watu wote ni sawa haijalishi wametoka katika makundi gani lakini watu wote ni sawa haijarishi wewe ni masikini wala wewe ni tajiri lakini watu wote ni sawa mbele ya Mwenyezi Mungu.

 

 

 

Maoni

Machapisho Maarufu