Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Kilichoangaziwa

TUWAPENDE NA TUWASAIDIE WAZAZI WETU

  SHUKURANI NA PONGEZI Kwa moyo wa utiifu na unyenyekevu ninapenda kumshukuru MUNGU kwa kunipa uzima ambao umeniwezesha kutunga vitabu 68 maana bila wa uwezo MUNGU   Kitabu hiki kingekuwa ni bure kabisa.   . Katika moja ya vitabu nilivyotunga ambacho kina kichwa cha habari “ AFYA YAKO NDIO MTAJI WAKO’, afya hiyo anayoitoa ni MUNGU pekee. Afya hiyo hiyo ndio inayotusaidia kumtumikia MUNGU na kuitumikia serikali. Bila afya sisi binadamu tutakuwa tunashinda tu kitandani. Shukurani nyingi za kipekee zimwendee Padri Wilbroad Tangi kwa mema mengi ambayo amenifanyia ambayo siwezi kuyataja humu.   Sina cha kumpatia chochote   zaidi ya kumwombea kwa Mwenyezi MUNGU afya njema   na mafanikio mema. KUHUSU MWANDISHI JAMES LUBUS ni Wakili   aliyesajiriwa kwa mujibu wa sheria za Mawakili. Mwandishi wa kitabu hiki pia ni kiongozi wa Mawakili wa Kujitegemea na Mawakili wa serikalini kupitia barua ya uteuzi. Mwandishi wa kitabu hiki amefanya kazi katika m...

Machapisho Mapya Zaidi

migogoro ya ardhi

UTAKATIFU NI PAMOJA NA KUSALI, KUSIFU NA KUABUDU

TUISHI MAISHA YA UTAKATIFU