NAMPENDA MUNGU NITAUNGAMA DHAMBI ZANGU NIPATE UZIMA WA MILELE
SURA YA KWANZA
NAMPENDA MUNGU
NITAUNGAMA DHAMBI ZANGU NIPATE UZIMA WA
MILELE.
Mtunzi
wa kitabu hiki ni Mkiristo mkatoliki ambaye ana imani kubwa na kanisa hilo
ambalo limeenea kokote Duniani. Hivyo anayofuraha kubwa kuzaliwa mkatoliki.
Richa
ya kuwa ni Wakili wa Kujitegemea ila kupitia uwezo wa Roho Mtakatifu
amemuelekeza atunge kitabu hiki ili kuwaoongoza watu watubu dhambi zao kabla ya
kupokea Ekarist takatifu au watu watubu dhambi zao kabla ya kufa.
Baada
ya kutubu dhambi zako unakuwa umezaliwa upya na ukisema kwamba huna dhambi
utakuwa umejidanganya mwenyewe.
Mtunzi
wa kitabu hiki hajataka kunakiri maneno ya kitabu hiki sehemu yoyote ile au
kukopea maneno yoyote yale kutoka kwenye Internent au kutoka kwa watunzi mbali
mbali bali ameonesha tu kalama yake kupitia Uwezo wa Roho Mtakatifu ambaye
kupia yeye ndio vipaji vyote vinatoka kwake.
Hawezi
kamwe kutenda dhambi ya kusema Uongo ili kukufurahisha wewe msomaji. Maneno
yote ya kitabu hiki yametoka kichwani mwake isipokuwa vifungu vya bibilia
ambavyo lazima uvirejee kutoka kwenye kitabu kitakatifu.
Kuna
mtu mmoja alitembelewa na Padri ili aweze kupokea sacrament ya Kitubio baadaye
apate sacrament ya Kommonio, huyo mtu akasema, Padri kwa sasa sipo tayari
naomba uje jioni.
Padri
akaenda jioni wakasema Yule mtu amefariki. Ina maana alifariki kabla ya kutubu
dhambi zake. Hata bibilia takatifu imesema Hakuna Ajuaye
Siku Wala Saa (Marko 13:32-37)
32 “Hakuna ajuaye
siku hiyo itakuwa lini au saa ngapi; hata malaika mbinguni hawajui wala mimi
Mwana sijui, isipokuwa Mungu Baba peke yake. 33 “Jiandaeni,
muwe macho. Kwa maana hamjui wakati mambo haya yatakapotokea. 34 Ni
kama mtu anayesafiri na kuwaachia watumishi wake madaraka, kila mtu na wajibu
wake; kisha akamwambia mlinzi wa mlango awe macho. 35 Kesheni
basi, kwa sababu hamjui ni lini bwana mwenye nyumba atarudi. Anaweza akaja
jioni, au usiku wa manane au alfajiri au mapambazuko. 36 Kama
akija ghafla, pasipo ninyi kumtazamia, asije awakute mmelala. 37 Na
haya ninayowaambia ninyi nawaambia watu wote: Kesheni!”
Hayo si maandishi yangu bali ni neno la Mungu mwenyewe. Usipuuzie
haya ambayo Mungu anaongea na wewe kupitia mdomo wa Wakili James Lubus. Ipo
siku ya kiama Mungu atakuambia , Kwanini ulimpuuzia maandishi ya Wakili James
Lubus? Ukampuuza badala ya kusoma neno la Mungu ukaanza kuangalia video za X,
na wakina dada wanaokaa na kuvaa nusu uchu, madanga na wadangiwa kwenye mtandao
pamoja na mambo ambayo hayampendezi Mungu. Ukaacha kusoma makala ya wakili
msomi ukambeza badala yake ukajikita kwenye mabo ya kidunia na kisimu chako
pasipo kujua kwamba hayo yana mwisho wake.
Baada ya kifo chako ndio unakutakana
na Moto wa Jehanamu unaowaka kama tanuru
la moto na ndio unakumbuka na kusema. Wakili ninaomba unisaidie kitabu chako
kinisaidie kuwaambia ndugu zangu watafute kitabu chako ili na wao wasije huku
kwenye moto mkali. Hapo utakuwa umechelewa kweli kweli.
Ninaomba uwaambie ndugu zangu kuwa
alichokiandika Wakili James Lubus Kuwa Muungame dhambi Muoone Ufalme wa
Mbinguni ni sawa hadithi ya Tajiri na Lazaro.
Katika Luka 16:31 tunaona Ibrahimu alimwambia
yule tajiri kwamba, “Ibrahimu akasema, Wanao Musa
na manabii; na wawasikilize wao.”
Hivyo shauri zako msomaji,
binadamu kufa ni kazi raisi sana. Mtu hufa kwa sekunde moja tu. Na ndio
unasikia wanasema, Fulani ialikuwa mzima tu na leo nimemuoona ila nimesikia
ameanguka bafuni ghafla.
Usipuuzie haya ninayo kuambia
ndugu Msomaji. Wewe hukujileta duniani wala hukujiumba. Hivyo amini Mungu yupo
na ipo siku kutakuwa ndio siku ya kiama. Sasa siku ya Kiama ikukute umeshatubu
dhambi zako na Mungu atakusamehe tu hata kama uliiba, ulipora, ulikaba.
Mwishoni Mungu atambariki mwandishiwa
kitabu hiki na atamsaidia aingie Mbinguni naye pia baada ya kutubu zambi zake.
Kitabu hiki pia kinapokelewa na Mwenyezi
Mungu kujibu maombi aliyoomba katika Mlima Mwanauholo siku ya Jumapili ya Matawi
hasa hasa katika maombi namba moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba nane na tisa
na kumi. Na baada ya kumaliza kuandika vitabu kumi vya Mungu fedha zitawekwa kwenye
akaunti yake ambayo ni 62110018306
Kitabu
hiki kimeandikwa kwa machozi ya damu ila kinagawiwa bure kabisa. Hivyo na wewe
ukikipata toa kopi tano mpatie mwenzako. Usipuuzie maana ukipuuzia hutafanikiwa
kwenye malengo yako. Ila ukirudi nyuma na kutoa kopi hata kama umefukuzwa kazi
utarudishwa kazini. Hata kama mambo yako yahaendi yataenda tu.
Kitabu
hiki hakiuzwi ila ukitaka kuchangia huduma ya kuwasaidia watu waingie mbinguni
kwa kutubu zambi zao unaweza ukalipa kupitia namba zifuatazo
Lipa
namba 10494251 benk ya Crdb
Lipa namba 5486865 SIIA ADVICATES mawakili (Voda)
Au
ukaweka chochote kile hata kama ni shilingi mia kwenye akaunti namba
62110083480 jina Christina Lubus

Maoni
Chapisha Maoni
thank you very much asante sana