Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Kilichoangaziwa

UTAKATIFU NI PAMOJA NA KUSALI, KUSIFU NA KUABUDU

  SURA YA KWANZA TUSALI KWANZA SALA YA   ASUBUHI Kama umeanza kusoma asubuhi Sali   kwanza sala hii. +Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina. Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu mmoja, sasa na siku zote na milele amina. Ee utatu Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu; +Baba, +Mwana na +Roho Mtakatifu. Ninasadiki kuwa upo hapa na mahali pote. Ee Mungu wangu, umeniumba, umenikomboa, umenifanya mkristu, umenizidishia neema zako, umenitayarishia makao yangu mbinguni. Ee Mungu wangu, nakuabudu, nakushukuru, nakuomba toba, nakupenda. Ee Mungu wangu, ninakutolea roho yangu, na mawazo, na maneno, na kazi na furaha, na mateso yangu, uyapokee unipe neema yako nisitende leo dhambi, Amina. ______________________ Ee Baba yetu Mungu mkuu, Umenilinda usiku huu. Nakushukuru kwa moyo, Ee Baba, Mwana na Roho. Nilinde tena siku hii, Niache dhambi, nikutii. Naomba sana Baba wee, Baraka zako nipokee. Bikira safi, Ee Maria Nisipotee nisimamie. Mlinzi mk...

Machapisho Mapya Zaidi

TUISHI MAISHA YA UTAKATIFU

TUSIANGALIE PICHA ZA EX KWENYE MITANDAO

UTAKATIFU NI PAMOJA NA KUWASAMEHE WATU WALIOKUKOSEA

UTAKATIFU (KUMUNA) MUNGU NI KAZI